Imagine Ngara kunajengwa Tpa name[emoji1787]....halafu eti mnataka kushindana Nairobi [emoji848][emoji848]Izo hadi zikamilike siunajua sio Leo wala kesho,kua na busara nionyeshe nyumba zilizoisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngara will be better than Dar in 2021.Imagine Ngara kunajengwa Tpa name[emoji1787]....halafu eti mnataka kushindana Nairobi [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv na wewe huishi jijini? ...hehe Shenzhen tenaZinaanza huu mwaka hadi 2021....so tulia uone jiji kama Shenzhen [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimaman Nairobi..... kariokoo huku ni zaidi ya mia moja[emoji16][emoji16]
Hakuna kitu huwa inakuuma kama Avic najua unatamani ingejengwa Dar.
Nairobi kufikia mwaka 2025 hapa Afrika haitakua na rival upande wa towers kama mwendo ndio huoHakuna kitu huwa inakuuma kama Avic najua unatamani ingejengwa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikua na lengo la kupost picha humu,huu ni uzi wa NBO ila walau hii moja sio mbaya