Nyumba tatu poa na cowsheds kadhaa.Sikua na lengo la kupost picha humu,huu ni uzi wa NBO ila walau hii moja sio mbaya
Na hii sio CBD View attachment 1001341
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii size yake ni south C banaSikua na lengo la kupost picha humu,huu ni uzi wa NBO ila walau hii moja sio mbaya
Na hii sio CBD View attachment 1001341
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kileleshwa inaitoa njeSikua na lengo la kupost picha humu,huu ni uzi wa NBO ila walau hii moja sio mbaya
Na hii sio CBD View attachment 1001341
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo hadi zikamilike siunajua sio Leo wala kesho,kua na busara nionyeshe nyumba zilizoisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea ni wakati upi, kama pick ama offpick hours ,nauli habadilika kulingana na wakati.Amini unavyoamini,huko nauli zikoje...kwa route za hapo mjn mfano kutoka CBD hadi westlando
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Nyie mnasifia zile office mbili za TRA?Wakenya mnasifia majengo badala ya kuangalia Kusifia maisha bora kwa raia?hayo majengo ndo chakula??au hayo majengo ndo yanawaajiri wakenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Apartment mbona hapa mjn ziko mobHuyo ni mchina mwenye iyo project kama ule was avic uwezo anao wakifedha kwaivo lazima atajenga ule lakini kitu ambacho hakijanipendeza no quality ya hayo majengo yanakaa cheap kusema kweli hope watakacho kijenga kitakua poa kushinda rendersView attachment 1001387
Sent using Jamii Forums mobile app