Inabidi waongeze mabasi mengine ili yatosheleze watu.tatizo ustaarabu wa kupanda yale mabasi ni mdogo sana. Mwanzoni kabisa tulikua tunapanda kwa foleni ila saivi ni scramble for seats. Ka tabia kashajengeka.
Hata huku kwetu kuna mitaa una scramble for seats afu kuna mitaa lazima upange foleni.tatizo ustaarabu wa kupanda yale mabasi ni mdogo sana. Mwanzoni kabisa tulikua tunapanda kwa foleni ila saivi ni scramble for seats. Ka tabia kashajengeka.
Ok... sikujua hilo, hiyo mitaa wanayo scramble for seats nao wanarundamana kwenye basi kama huku kwetu au ukikosa siti unashuka?Hata huku kwetu kuna mitaa una scramble for seats afu kuna mitaa lazima upange foleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂wanaubaguzi sana mkuu!Dah mbona Nairobi kila saa, Kenya hakuna mji mwingine tofauti na Nairobi wekeni na turkana
Lakini Baby, thread ni kuhusu Nairobi. Soma title. Usiwe kama Redeemer upofu.😂😂wanaubaguzi sana mkuu!
Lakini Baby, thread ni kuhusu Nairobi. Soma title. Usiwe kama Redeemer upofu.
Babie? Bado unanyonya kidole!
Ni kweliCapital of East AfricaView attachment 1004789View attachment 1004790View attachment 1004791
Sent using Jamii Forums mobile app