Manzese uswahilin ndio unatafutia kura hapoKama ni hizi basi nimekubali but kama ni high rise you should compare yourselves with Mogadishu in Somalia.View attachment 1012266
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hata idara moja ambayo uko na nafuu,99% umeipataje unajua we mwenyewe na boga lako
Can't be ranked alongside other known slums because it will be a disgrace to lazy sorcerers of Uchawi Republic since all of it is slum.Hakuna hata idara moja ambayo uko na nafuu,99% umeipataje unajua we mwenyewe na boga lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hard feeling peleka laborCan't be ranked alongside other known slums because it will be a disgrace to lazy sorcerers of Uchawi Republic since all of it is slum.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihitaji nguvu nyingi kujieleza sababu umeona picha kadhaa za mitaa ya Nairobi.....sasa hapo jijazie we mwenyewe
Huu uzi ni wa NBO. Sio sahihi kuanza kueka miji mingine apa,Hakuna jiji lenye nyumba mob kama dar,nawapa respect kwenye planning hapo mmejitahidiSihitaji nguvu nyingi kujieleza sababu umeona picha kadhaa za mitaa ya Nairobi.....sasa hapo jijazie we mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee wacha ubishi sababu tukianza mambo ya kupost mitaa hapa utakimbia..... Nairobi ina mitaa kama zaidi ya 30, wakati nyinyi mna kariokoo pekeeHuu uzi ni wa NBO. Sio sahihi kuanza kueka miji mingine apa,Hakuna jiji lenye nyumba mob kama dar,nawapa respect kwenye planning hapo mmejitahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufanye umeshinda.Wee wacha ubishi sababu tukianza mambo ya kupost mitaa hapa utakimbia..... Nairobi ina mitaa kama zaidi ya 30, wakati nyinyi mna kariokoo pekeeView attachment 1012351
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna time nilikuambia kariokoo ni mtaa hapa Nairobi ukaona ni kama mchezo tu [emoji16]
Inaitwa kariakoo ward ina mitaa yake kadhaa,by any means haiwez kua mtaa popoteKuna time nilikuambia kariokoo ni mtaa hapa Nairobi ukaona ni kama mchezo tu [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app