Kambalanick
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 1,157
- 1,046
Usi haribu hii thread nakusihi... ukitaka kulinganisha kuna thread ya Battle unaeza fanyia huko.Ngoja na mimi nitupie picha za Ubungo + Manzese, tulinganishe na za huko kwenu Nairobi.
Roger out.Usi haribu hii thread nakusihi... ukitaka kulinganisha kuna thread ya Battle unaeza fanyia huko.
anzisha thread ingineNgoja na mimi nitupie picha za Ubungo + Manzese, tulinganishe na za huko kwenu Nairobi.
Wakenya karibuni muupande
Kuna njia ya kuupanda ukiwa hukoHuo mlima upo Kenya vile, Ukiingia Amboseli ndio hivyo basi!
Unapita hadi kule Loitoktok Kisha ukapanda! Sijaupanda mimi. Tanzania nimepanda tu huu wa hapa Longido unajina mbovu sana, Eti mlima Matako. Mbona hivi wabongo pale hawangeupa jina kheri kiasi??Kuna njia ya kuupanda ukiwa huko
Karibu tz upande mlima Kilimanjaro, ni ajabu kuishia kuuona tu,Unapita hadi kule Loitoktok Kisha ukapanda! Sijaupanda mimi. Tanzania nimepanda tu huu wa hapa Longido unajina mbovu sana, Eti mlima Matako. Mbona hivi wabongo pale hawangeupa jina kheri kiasi??
I want the middle chiq, soo pretty lolROOFTOP BAR AND POOL