Siwez kununua nyumba Nairobi niache kuishi Dar, wewe huujui utamu wa bahari nnTafuta millioni kumi za Kenya you come own an apartment , uwache siasa they are even furnishing the apartment for you
Wivu inakusumbua sana [emoji23] [emoji23]
Ingekuwa iko Dar ungeongea hivyo kweli?
Ni pesa inazungumza sio mm[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umezoea ushago unadhani kila mtu ni kama wewe[emoji23][emoji23]