simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Mfumo Kristo in action !dah!...kenya wamebuni mbinu nzuri ya kuboresha maisha. watalii wengi wa nje na ndani wataongezeka hivyo kipato na mzunguko wa fedha nao utakuwa mzuri. dada poa kutoka sehemu mbali mbali na nchi za jirani nao watapata nafasi kunufaika na huruma hii.
The city council of Nairobi is considering to relax its by laws to allow sex workers to operate freely. Nairobi mayor says the council will stop harrassing sex workers and will certainly find a place to have them operate freely and they will be required to pay relevant taxes. Will consider petition signed by prostitutes by Feb 14.
What are your thoughts on this?
It happens anyway in NRB ,DAR (jolly,macheni,kinondoni) they might as well legalize it/80% ya wanaume washakula kahaba.
Mhhhh, I see influx ya machangu wa kichagga na wahaya huko Nairobi.
Ukahaba hauna kabila mkuu. Yaonesha unawachukia watu flan flani lakini.
Ukahaba hauna kabila mkuu. Yaonesha unawachukia watu flan flani lakini.
Si kweli, angalia makahaba wengi wa hapa Dar, then njoo unilaumu.