Nairobi University wagoma

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wagoma kushinikiza mwenye baa aliyesababisha mwenzao kuuawa alipe m 50 Kshs. Maeneo ya town kuna jam kubwa mno barabara hazipitiki kabisa. Magari mengi yameharibiwa vibaya!!!
 
Dada eeh,

si mgomo bali ni maandamano yao. Hawa watu samtimu wanuzi lakini....

Nairobi University students harass a motorcyclist along Uhuru highway on March 30 2011. They took to the streets to
protest 'the institutions laxity' in addressing the mysterious disappearance of an engineering student.

Traffic snarls up along Uhuru highway because of the demonstrations by UoN students who blocked the highway.

Anti-riot police along Uhuru highway.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…