Nairobi vs Dar es Salaam:Interchanges

Hawana lolote wale. .. . Mdomo na kuanzisha threads ni zao. Wanaume kama mabinti
 
When I look at mabati footbridges terminating at no parved sidewalks I see poor planning! Sorry nothing to be boast fully about see our DART project for clarification.
[emoji23] [emoji23] kicks of a dying horse...wait..ata si horse...kicks of a dying donkey[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] kicks of a dying horse...wait..ata si horse...kicks of a dying donkey[emoji23] [emoji23]

Mchina workmanship that foroot individuals on wheelchair factored some percentage to "tenderpreneur guys"! See the difference

[emoji23] [emoji23] kicks of a dying horse...wait..ata si horse...kicks of a dying donkey[emoji23] [emoji23]
There u exit to some kichaka probably even step on some kinyesi as no paved sidewalk around.
 
NI UJINGA KUJENGA INTERCHANGES NYINGI AF BADO UNAONGOZA KWA FOLEN DUNIAN, ITS STUPIDITY GRADE 1

So unamaanisha tusijenge.
Flyover na barabara za Nairobi, yes ni mingi kwa mbali kulinganisha na Dar, lakini kwa sababu ya wingi wa magari na ukubwa wa jiji, hazijatosha bado.
 
sasa we unaona nini cha ajabu hapo?.ebu nitajie kitu special kwenye hiyo interchange, halafu nitakutajia kitu special ktk kurasini interchange
hakuna ubunifu,it is very ugly..
Mimi nimeona tuta la sgr Mombasa Nairobi! 😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…