Nairobi vs Dar es Salaam:Interchanges

Kenyans ndio free comedy. Mumechora mistari kwenye barabara mukaita brt

Tihahahhaaaaa
Hii hapa. If your President can do such what of a mere midget like you.
 

Attachments

  • images-51.jpeg
    36.2 KB · Views: 25
Stop comparing jobergy with rubbish
 
Izo interchange zenu ni substandard hazinogi hata ofcz yes ziko ugly na zakichovu
At least you have to stop shouting you have interchange plz izo ni jokes sasa kama izo mnazifungulia uzi how abt this one wao wasemeje #jozi(spaghetti interchange)#?
Hawa ndio wana interchange the next one is uc at ubungo dar es salaam hizo zenu ni pilot study tu
 

I laugh at your naivity. Unaleta ya watu badala ya kuleta this ugly Kurasini thing
 

Attachments

  • CgyT85AXEAABtHY.jpg
    82.7 KB · Views: 25
Aisee umekosa picha kutoka Tz ukaamua uingie na hadith za Abunuwasi.
 
Aisee umekosa picha kutoka Tz ukaamua uingie na hadith za Abunuwasi.
 
Mnatupigia kelele na vitu substandard imebidi niwaonyeshe standards vile hufanana mkae kimya

Tihahahhaaaaa. Acha sasa kesho naleta Interchanges Dar is a slum vs Kisumu. Ndio mjue Kenya si Riga yenu
 
Aii Aii.. .. Don't begin comparing your sorry selves to us. We refuse
Hii thread yako imegonga mwamba. ..Hamna interchange yakueleweka hata moja jengeni kwanza
 
Hii thread yako imegonga mwamba. ..Hamna interchange yakueleweka hata moja jengeni kwanza

Tihahahhaaaaa. Yuhuuuu. Goes a long way to show Dar es salaam does not have infrastructure. Now you understand what we mean when we say Dar is 20 years plus behind Jiji kuu, jiji ya wachanja na kelele zetu Nairobi.
 
Tihahahhaaaaa. Yuhuuuu. Goes a long way to show Dar es salaam does not have infrastructure. Now you understand what we mean when we say Dar is 20 years plus behind Jiji kuuza, jiji ya wachanja na kelele zetu Nairobi.
NBO zaman miaka ya 70 mlisumbua kiasi sio Leo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…