Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

vp mbona sikuoni kule kwa ile thread yako.unaogopa nini?

rudi kule kuna bakshish yako nahitaji kukuzawadia.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio nmerudi....unajua ninakazi ya kufanya..Mimi si Idle ka wewe uko hapa 24/7 huna job ingine
 
Hebu Rudia link inasemaje!!
hahaha
 
Vipi Watanzania mmenyamaza? Wacha niwaongeze lingine

Kings Distinction Nairobi 20 floors

 
So far.....
1. Nairobi Britam (33 floors) V Dar TPA (36 floors)
2. Nairobi UAP 33 V Dar PSPF 1 35
3. Nairobi Times Tower V PSPF 2 35
4. Nairobi KICC 28 floors V Dar Rita 30 floors
5. Nairobi Social security house 1 28 floors V Dar Millennium Tower 30 floors
6. Nairobi Anniversary Tower 28 floors V Dar Uhuru Heights 27 floors
7. Nairobi Teleposta Tower 27 floors V Dar Umoja wa Vijana 1 25 floors
8. Nairobi Nyayo House 27 floors v Dar Umoja wa vijana 2 25 floors
9. Nairobi Lemac 26 floors V Dar PPF Golden Jubilee 24 floors.
10. Nairobi Co-operative Bank House 25 floors V Dar Golden Tulip 23 floors
11. Nairobi 4th Ngong Avenue Towet 25 floors V Dar Samora Tower 23 floors
12. Nairobi Hazina Tower 24 floors flooors v Dar Mafuta Tower 22 floors
13. Nairobi KCB Tower 23 floors V Mafao House 22 floors
14. Nairobi UoN Tower 22 floors v Dar Quality Boulevard 22 floors
15. Nairobi Ambank Tower 22 floors V Dar Viva Tower 21
16. Nairobi Lonrho House 22 floors V Dar BOT 1 20 floors
17. Nairobi National Bank Building 21 floors V Dar BOT 2 20 floors
18 Nairobi Uchumi House 21 floors V Dar Ushirika House 20 floors
19. Nairobi Viewpark Tower 20 floors
20. Nairobi King's Distinction 20 floors
So far Nairobi 12 Dar 5 draw 1 (Nairobi with 2 extra building awaiting response)
 
Mimi hapa ni mtazamaji tu. Maana wenzetu utaratibu hawawezi kabisa kuufuata.
 
Bongo inakukosesha raha kabisa ndugu yangu unahangaika ukihangaika hahhahahahahahah unanifurahisha sana kazi munayo yani mm nilikwambia toka mwanzo ukubwa wa dar chukua nairobi chukua mombasa na kisumu onganisha hupati bado dar hehhehehh u try to add alaf uje hapa hhahahhahahahah
 
Hahahahahahha jamaa akishindwa anatukana hhahhahahahahah kazi IPO hahahhahahahaha
hahahahaha huyu kijana sio mvumilivu na mstaarabu katika majadiliano.

kisa cha hasira zake zinazompelekea kutusi watu hapa,ni kitendo chake cha kusema Mimi sina kazi,eti nashinda jf mda wote.

nikamwambia sawa,wewe una ajira nzuri huko kenya na ajira yako ni u-watchman (mlinzi wa kushinda kwenye mageti ya majumbani).

basi ndio akakasirika kweli.sikujua kama u-watchman ni tusi kubwa kwa mkenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ila muache aendelee kutukana,mimi ndio napenda na inanirahisishia kazi ya kupeleka mfugo wangu machinjioni.
 
Tuache kuvuruga hii thread na matusi aina hiyo wasee.

Haya so far Kenya iko mbele....clearly by faaar! Kama kweli Dar iko na more skyscrapers 20+ than Nai, lidhihirishwe humu.
KweliKwanza.....where art thou? Mpangilio ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…