Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Tazama hio umoja tower unaona zimeshikana hapo ndio maana inaitwa tower one tower two
 
Nairobi ni Slum na Zile barabara 2 pekee
Najua miaka 3 mbele watabaki na Slum zao

Eti Two tower hahaha

 
I hope you guys are done with the kids' noises. Now, the more mature Tanzanians - I need 4 responses from you. Let's go.

So far.....
1. Nairobi Britam (33 floors) V Dar TPA (36 floors)
2. Nairobi UAP 33 V Dar PSPF 1 35
3. Nairobi Times Tower V PSPF 2 35
4. Nairobi KICC 28 floors V Dar Rita 30 floors
5. Nairobi Social security house 1 28 floors V Dar Millennium Tower 30 floors
6. Nairobi Anniversary Tower 28 floors V Dar Uhuru Heights 27 floors
7. Nairobi Teleposta Tower 27 floors V Dar Umoja wa Vijana 1 25 floors
8. Nairobi Nyayo House 27 floors v Dar Umoja wa vijana 2 25 floors
9. Nairobi Lemac 26 floors V Dar PPF Golden Jubilee 24 floors.
10. Nairobi Co-operative Bank House 25 floors V Dar Golden Tulip 23 floors
11. Nairobi 4th Ngong Avenue Towet 25 floors V Dar Samora Tower 23 floors
12. Nairobi Hazina Tower 24 floors flooors v Dar Mafuta Tower 22 floors
13. Nairobi KCB Tower 23 floors V Mafao House 22 floors
14. Nairobi UoN Tower 22 floors v Dar Quality Boulevard 22 floors
15. Nairobi Ambank Tower 22 floors V Dar Viva Tower 21
16. Nairobi Lonrho House 22 floors V Dar BOT 1 20 floors
17. Nairobi National Bank Building 21 floors V Dar BOT 2 20 floors
18 Nairobi Uchumi House 21 floors V Dar Ushirika House 20 floors
19. Nairobi Viewpark Tower 20 floors
20. Nairobi King's Distinction 20 floors
21. Nairobi Reinsurance Plaza 20 floors.
22. Nairobi ICEA building 20 floors
So far Nairobi 12 Dar 5 draw 1 (Nairobi with 4 extra buildings awaiting response)
Sasa mmechapwa na buildings nne.
 
Nimekwambia britam toa lemac toa hakuna ujanja hapa unatuekea under construction buildings alaf unasema completed buildings mm nakwambia niko tayari kuanza na wewe moja baada ya moja alafu uone kama utatoka humu ndani
 
Hujiamini wewe ndio maana mm nakwambia over 20 buildings dar hutoboi wewe munapenda mambo ya ujanja ujanja tu kama unajiamini toa hizo under construction buildings alaf twende kazi mm na wewe kama wewe mwanaume kweli
 
Huu ndio msimamo wa ligi unataka twende kazi hapa ujanja sisi hatutaki na ujuaji sana hatutaki

1. Nairobi uap 33 V Dar TPA (40floors)
2. Nairobi times tower 33 V Dar PSPF 1 35
3. Nairobi kicc tower 28fl V PSPF 2 35
4. Nairobi social security 28 V Dar Rita 30 floors
5. Nairobi anivesary tower 28 V Dar Millennium Tower 30 floors
6. Nairobi teleposta tower 27 V Dar Uhuru Heights 27 floors
7. Nairobi nyayo house 27 V Dar Umoja wa Vijana 1 25 floors
8. Nairobi co operative bank 25 v Dar Umoja wa vijana 2 25 floors
9. Nairobi 4th ngong avenue 25 V Dar PPF Golden Jubilee 24 floors.
10. Nairobi hazina tower 24 V Dar Golden Tulip 23 floors
11. Nairobi kcb tower 23 V Dar Samora Tower 23 floors
12. Nairobi uon tower 22 v Dar Mafuta Tower 22 floors
13. Nairobi ambank tower 22 V Mafao House 22 floors
14. Nairobi lonrho house 22 v Dar Quality Boulevard 22 floors
15. Nairobi national bank 21 V Dar Viva Tower 21
16. Nairobi uchumi house 21 V Dar BOT 1 20 floors
17. Nairobi reinsuarace plaza 20 V Dar BOT 2 20 floors
18 Nairobi??????????????? V Dar Ushirika House 20 fl
 
Hujiamini wewe ndio maana mm nakwambia over 20 buildings dar hutoboi wewe munapenda mambo ya ujanja ujanja tu kama unajiamini toa hizo under construction buildings alaf twende kazi mm na wewe kama wewe mwanaume kweli
huna jipya...golf course mlilia ikatolewa saa ii unakuja anza ujuha mkiona mmezidiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…