Nairobi: Washukiwa wanne wa magenge ya kihalifu wapigwa risasi na kuuawa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Washukiwa wanne wa magenge ya uhalifu wamepigwa risasi na kuuawa katika matukio mawili tofauti kwenye mitaa ya Umoja na Buruburu

Watuhumiwa watatu walipigwa risasi na kuuawa barabarani na polisi waliokuwa wakiwafuatilia baada ya kutolewa taarifa kuwa waliiba gari eneo la Muthangari

Polisi walichukua bastola na gari aina ya Toyota Axio ambalo watu hao walikuwa wakisafiria

Katika tukio la pili, mtu mmoja alipigwa risasi na kufariki katika uhalifu wa kuiba nyumbani



===========================================================Four suspected gangsters were Monday morning shot dead by police in two separate incidents in Nairobi’s Umoja and Buru Buru estates.

Three of the suspects were fatally shot on Outering Road where they were accosted by police who had been trailing them after they reportedly stole a vehicle in Muthangari area.

Police recovered a pistol and the stolen Toyota Axio vehicle that the three were driving in.

In the second incident, a man was gunned down at New KCC estate near Buruburu during a home robbery.

Source: Citizen Tv
 
isije ikawa ni wanaNASA halafu wanasema ni wahalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…