Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Let's put this in perspective, umeweka data hapa kuonyesha Kenya is earning more that Tanzania in terms of tourism contribution to GDP. Na umechaguwa only one source support your argument - WTTC. First of all, the data is from 2016 this means old, second the accuracy of that is questionable because it is sourced through survey of the people working in industry (most likely private sector) either by country or by region.
WTTC wiki tells you how they complied their report. (read research section) World Travel and Tourism Council - Wikipedia
WTTC hawana uhusiano wowote na serikali ya nchi husika, hujawai kuona kiongozi wa serikali (Kenya au Tanzania) au gov institution yoyote ina quote information from WTTC.
Report ya GoK department of statistics 2018, inaonyesha accurate number ambayo hata CS Balala ndio anatembea nayo na kuzitangaza. Kenya earn $1.2 billion in 2017 kutokana na watalii 1.4 million. Hii ni overall revenue ya serikali ambayo inaweza kuweka kwenye budget ya serikali. At same time GoT published 2017 earnings of $2.3 billion. Ukileta number za GDP impact za pembeni and they don't appear on annual statistics report, hapo unakuwa unapotosha maana what's going on in private sectors has nothing to do with Gov. Hiyo sio pesa wanaweza kuipangia miradi au matumizi. Muda mwingine pesa ya watalii haifiki hata Kenya, people pay for their holiday package abroad and they only come with their toothbrush and swimming costume. Wanaweza wasitumie hata senti tano mpaka wanaondoka. The local operator ndio wanatowa the difference and pay the local authority what they owe.
Kenya National Bureau of Statistics 2018 economy survey, they haven't mentioned anything $2.5 billion you been jumping up and down with. They only mentioned what Bilala has been saying all along.
Economic Survey 2018 Highlights - Kenya National Bureau of Statistics
KTB hawajasema chochote kuhusi WTTC report, kama wamesema tuwekee statement yao hapa. How could you have GDP impact of $2.5 billion while hotels are closing down, jobs lost, where all the money goes? Inajulikana some hotel owners in Kenya watengeneza data, pass it own to WTTC so that the numbers look good in return they get the trust of the bankers get loans to run their bankrupt hotels.