Hii ni mbaya sana...Sasa jiulize, wameibia wangapi Kwa uhuni wa namna hii!
Wizi wa mtandao wa TIGO sijui kama unaufikia wizi wa mtandao wa Voda. Voda nimewavulia kofia kwa wizi. Nshagombana nao sana tu.TIGO wezi balaa. Lakini siku za karibuni there was some improvement in their service.
Na Cha ajabu ukiwapigia kuwauliza watakuambia umejiunga huduma ya game. Ukiangali mbona hujafanya hivyo. Watakuambia ngoja tukuondoe. Acha hata shilingi 100 kwenye akaunti yako , wanapita nayoVoda ndio majiz kabisa unaweka bando la buku masaaa tu limekata
Matapeli hawa huwa wanafazili matapeli yan unajiunga bando la wiki linaisha masaa mawili tuNa Cha ajabu ukiwapigia kuwauliza watakuambia umejiunga huduma ya game. Ukiangali mbona hujafanya hivyo. Watakuambia ngoja tukuondoe. Acha hata shilingi 100 kwenye akaunti yako , wanapita nayo
Ni hatari kwa kweliMatapeli hawa huwa wanafazili matapeli yan unajiunga bando la wiki linaisha masaa mawili tu
Fika katika matawi yao, kila kitu kinawezekana kikubwa documentsNa je haiwezekan kuboost hyo line ya kawaida ikapokea zaidi ya m 5 mkuu.tupeane maujanja
Kuna li mtandao la Halotel, lenyewe huwa halina offer, halina promotion, halitoi mabango kwa mawakala wake, halitoi taarifa kukiwa hakuna mtandao. Kwa mfano kwa siku zaidi ya Nne au tano sasa , ikifika tu majira ya jioni limtandao lao halifanyi kazi na wahussika wala hawatoi taarifa yoyote. Hopeless kabisa.Imekuwa kawaida kwangu kutapeliwa pesa ninazobadili kuwa vocha, natuma kwenda Vodacom kutoka Tigo lakini upande wa Vodacom hazifiki. Huduma Kwa wateja Tigo wanadai wao wametimiza jukumu Lao kwa kufanikisha pesa kutumwa kikamilifu..
Matokeo, pesa hairudi na vocha sipati. Naingia hasara na hadi sasa jumla ya pesa niliyotapeliwa ni zaidi ya 50k.
Ushahidi ninao na vielelezo ninavyo..