Tetesi: Naishauri ccm kubadili rangi za kijani na njano ili waanze kupendwa

Tetesi: Naishauri ccm kubadili rangi za kijani na njano ili waanze kupendwa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nawashauri ccm wabadili rangi zao za njano na kijani ili waanze kupendwa nawashauri watumie blue na nyekundu au blue na nyeupe au blue na njano asanteni fanyeni hivyo mtaniambia kijani na njano watu wamezichoka
 
IMG-20180807-WA0008.jpg

IMG-20180811-WA0018.jpg
 
Rangi waiache haina neno,Isipokuwa ile logo ya Nyundo na jembe ndo waitoe kwa haina maana kwa kipindi hiki kuiweka
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Hapana hawana sababu ya kufanya hivyo huwezi kata tawi ulilokalia huo ni uhalifu na upinzani sio uhalifu
 
Ukijua Rangi ya Kijani na Njano zina maana gani kwa CCM na Tanzania? Basi njoo na ili pendekezo lako litapita.

Unaishauli CCm ina maana wewe si Mwana CCM? Kama si mwana CCM basi waachie CCM na fikra zao huna sababu ya kuishauli, kwasababu huna Mapenzi hayo.

Na kama ni mwana CCM ili ni swala zito sana, CCM kuna kamati mbalimbali milango ipo wazi, unaweza kufikisha pendekezo lako ndugu kwa uzuri na karanga ukapewa, kisha ukaenda kuongeza furaha za Usiku.
 
Shetani atabaki kuwa shetani tu hata auvae umalaika.
 
Back
Top Bottom