naishauri serikali f4 waliofeli 2012 waruhusiwe kurudia f3 bure maana waliofaulu f2 2012 ni wachache

naishauri serikali f4 waliofeli 2012 waruhusiwe kurudia f3 bure maana waliofaulu f2 2012 ni wachache

Tudai Haki

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
315
Reaction score
80
wanajamvi nadhan huo ndio utakua ushauri mzuri coz wanafunzi waliofeli kidaato cha pili pia ni wengi na hawa waliofeli f4 walipta bla mtihan, hvyo yote hayo imesababsha wizara ya elimu ni jukumu lao kuwasaidia kuliko kuwaacha.
 
Back
Top Bottom