Naishi kama shetani!

Nina mtu namfahamu awajalipwa mshahara wa mwezi wa 12 mpk leo anafanya Azam kisa eti wizi ulitokea n kuna uchunguzi jamaa amekop mpk amekaukiwa ata nauli hana, ameshindwa enda kazini na hajal sku mbili mpk namuonea huruma sema ndo maisha yalivyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka 2015 nilipata kibarua hapo mjini arusha BA's kuna jamaa angu mmoja alikuwa alikuwa anipitiaa pale anaiombaa elfu 2000 hat msozi wakt anatafuta kazi aise nilimpa bila hiana SAS mm SAS HV mwaka umeenda cjapata kazi yoyote yeye anayokazi na inamlipa vxr sanaa hats kunikumbukaa ajali lolote hata nikimkopaa hata kunisikiaa duh. Anaona namtani wkt mm Niko serioussa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…