Naishi kwa huzuni Sana. Namsikitikia Tundu Lisu. Naisikitikia Tanzania.

Kuna watu hawajui kwanini M23 ipo, watu hao hao hawaamini kama kuna siku hawa hawa Watanzania watageuka M23 na kuleta usumbufu.

Mbegu wanayoipanda wanasiasa hasa wa CCM kuna siku italeta maafa na tutawahukumu na vizazi vyao.
 
Hao ni vibaka na matapeli wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…