Naishi lakini nina hofu


Nilishawahi kujaribu kutoa ushauri na namna bora ya kufanya kutokana na uwezo wangu ili tuanze kupata faida ila maboss hata hawana time
 
Kwakua ushagundua hilo anza kusev pesa japo kwa kucheza michezo Kama huez kukaa na pesa pili mfungulie wife ata kigenge auze uze ili wote msianguke kiuchum ,
 
Kwakua ushagundua hilo anza kusev pesa japo kwa kucheza michezo Kama huez kukaa na pesa pili mfungulie wife ata kigenge auze uze ili wote msianguke kiuchum ,

Nina save kadri ninavyoweza
 
ushauri.

fanya kila namna kila mweze wekeza 500,000
kwa miezi 5 fungua duka la jumla utatoboaa

hii helaa ni nyingi mno 800k ni nyingi sanaa kakaa make investment,

au tafutaa 1.4 M chukua mchele mbeyaa (1300 hadi ifike dar ni super

fanyaa biasharaa
 

Asante mkuu,ntafanyia kazi ushauri wako
 
Huna tofauti ba malaya yaani wauza miili, hao huangalia mwenye nacho.
Mshauri awe mbunifu ili kampuni iongeze mapato na sio kuki
Huna akili. Mtu hajazuliwiaa kutafuta green pasture we kama umezoea kufanya kazi isiyo kulipa fanya... kama sio ya baba ake ni ya nini kujipinda mgongo afie pale?
 
Huna akili. Mtu hajazuliwiaa kutafuta green pasture we kama umezoea kufanya kazi isiyo kulipa fanya... kama sio ya baba ake ni ya nini kujipinda mgongo afie pale?
Hizo green pasture humwagiliwa maji kenge wewe
 
Makampuni mengi ya Aina hiyo huwa Kama yanamilikiwa na watu wengi Basi hizo huwa Ni hujuma I'll mkurugenzi ashindwe na kampuni iongozwe na mwingine au iIuzwe kwa mmiliki mwingine kabisaaaaaaaa
 
Umechukua juhudi gani ktk nafasi uliyonayo hapo kwenye hiyo company ili ipate faida na iendelee ku exist?
Unawasaidiaje owners ili wafikie Malengo yao?
Umeonge point sana bro......tunafikiria matumbo yetu zaidi.......mshahara anapata but ana hofu ya kampuni kufariki...why asiingie front kujua kinagaubaga....ili kuongeza ufanisi mapato yaongezeke na mshahara upand...anakimbili JF kuonyesha uoga na udhaifu alio nao.....
 
wacha uoga mtoto wa kiume wewe....uoga wako umaskini wako.....hiyo elimu uliyo nayo unaitumiaje.......umeshawahi kujiuliza utokapo job umezalisha nini....kama hujazalisha kitu na upo hapo....huoni wewe ni chanzo cha kuifilisi hiyo kampuni....think big blaza...
 
Aise
Mimi ni designer tu pale
Aisee. we ENDELEA na hicho kijiwe lakini Ni lazima uandae mazingira ya kujiajirJenga urafiki na maafisa wapitisha ramani. Anza kuwa unapeleka kazi zako binafsi kupitisha. Ili ujenge jina pia I we rahisi kupitisha kazi zako hata Kama kampuni itafwariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…