Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Hilo jambo unalozungumzia halipo ktk kamusi yetu wTZ..Umeonge point sana bro......tunafikiria matumbo yetu zaidi.......mshahara anapata but ana hofu ya kampuni kufariki...why asiingie front kujua kinagaubaga....ili kuongeza ufanisi mapato yaongezeke na mshahara upand...anakimbili JF kuonyesha uoga na udhaifu alio nao.....
Umejuaje kama haipati faida wewe ni muhasibu wa hiyo kampuni unajua unachofanya ndiyo maana unajihami sasa siyo?Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.
Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila toka ianze na mimi hadi leo mshahara napokea vizuri tu kila mwezi kama 800k hivi per month, ila cha kushangaza tokea company ianze mpaka leo haijawahi rudisha hela iliyokuwa wanainvest shortly haiingizi faida toka ianze.
Nimepanga na mtoto mmoja ila nina hofu siku ikifungwa sijui itakuwaje na ajira zilivyongumu hivi nimejaribu vibiashara hata haviendi yaani full stress sijui hata niseme vipi
Wenzie tuko mjini, familia kusomesha tunakopa mpaka magengeni mshahara laki 5. SASA jaribu uache hiyo kazi.Ila watu bwana hamuwezi hata kushukuru Mungu nikujilalamisha tu muda wote?hela wanazo kulipa ww wanazipata wap?km unalipwa kika mwezi ujue kampuni inachanzo cha mapato kingine ambacho hukijui.na si lazima ufanye kazi uliyo somea.
2019,ina deal na mambo ya uchoraji ramani
Ni vizuri angalau unapata hela kwa sasa. Nikushauri kama umesajiliwa na bodi chora ramani za private. Huku mtaani ramani nzuri za aina mbalimbali zinauzwa kati ya laki 2 mpaa 4. ila kwa kampuni ni zaidi ya 2 million kwa ramani ya nyumba ya milioni 50.2019,ina deal na mambo ya uchoraji ramani
Mtumaini Mungu, Atakulinda na Kukuongoza.Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.
Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila toka ianze na mimi hadi leo mshahara napokea vizuri tu kila mwezi kama 800k hivi per month, ila cha kushangaza tokea company ianze mpaka leo haijawahi rudisha hela iliyokuwa wanainvest shortly haiingizi faida toka ianze.
Nimepanga na mtoto mmoja ila nina hofu siku ikifungwa sijui itakuwaje na ajira zilivyongumu hivi nimejaribu vibiashara hata haviendi yaani full stress sijui hata niseme vipi
Ukiona wewe ndio maana upo hapo bado na unalipwa, piga kazi, maisha yapo pote.Nilishawahi kujaribu kutoa ushauri na namna bora ya kufanya kutokana na uwezo wangu ili tuanze kupata faida ila maboss hata hawana time
Umeongea point sana ndugu yanguni dhahiri kabisa huna elimu ya fedha kama mamilioni ya watz wengi wakiwemo hata mawaziri wanaotuongezea matozo kila siku.
soma vitabu vya rich man in babilon na richdad poor dad, vitakupa msingi wa elimu ya fedha,
haijalishi una masters ya finance, degree ya uwekezaji, cpa, n.k kama hujasoma hivyo vitabu ni sawa na bure tu.
kwa wenzetu huko india, ulaya, mtoto mdogo kabisa hivi vitabu ashaviingiza kichwani,
ujinga wa kutokuwa na elimu ya fedha umegharimu wengi sana kuanzia wafanyakazi wanaolipwa vizuri, wanamichezo na wasanii wa juu, n.k.
bila kuwa na elimu hii tena kwa huo uoga wako, jiandae tu kisaikolojia siku wakifnga
I try to save but what i am worrying about siku company ikifungwa sijui itakuwaje