mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Una umri gani?
Mkuu umri wake utakusaidia nini
Una umri gani?
naona tatizo la binti limekugusa, au roho wa utatuzi wa matatizo kakushukia?
ili nijue namshaurije.
Ni miongoni mwa wapangaji jijini dsm, ninachumba kimoja tu kwenye nyumba ya familia, tunaheshimiana sana, na asilimia 100 ya wakazi wa nyumba hii wanaonja, si wanywaji sana, ila binti wa miaka kati ya hiyo nilotaja hapo juu, ni mlevi na ile pombe kwake ni balaa, inamtesa vibaya..anachanganikiwa sasa sijui bada ya kunywa akigawa beneke baadae huja na kutaka kukatisha uhai wake, wakati mwingine huwa uchi chi,
tatizo langu ni kwamba hatulali, matukio yote ni ya usiku wa manane mpaka majogoo, mimi nashindwa kuvumilia kukesha kuokoa mlevi huyu asijiue, je niamue nisiamke? nitahama lkn je kwa sasa nifanye nini