Unasemaje kuhusu Magufuli na Jafo mzee wa nyungu?Hii ndiyo kazi kweli ya serikali na nitoe pongezi sana kwa Rais Samia kwa kujali Watanzania kwanza.
wazee wangu na ndugu zangu wmepata chanjo ya covid 19. Nashukuru imetutoa wasiwasi hasa kwa wazazi wetu ambao wapo 70’s . Najua kuna mengi tuna laumu serikali lakini tunashukuru sasa sana kwa kuokoa maisha na kutuondolea woga.
Hii ni single shot mkuuPili, ujiandae kwa chanjo ya 2 inayoitwa booster vaccine kwa ajili ya kuipa hiyo chanjo yako ya sasa nguvu,
Jansen Ni single dozePamoja na hiyo faraja na shukrani lazima ufahamu kwamba uwezekano wa wewe kupata corona ama kufariki kwa corona bado uko pale pale hata kama umepata chanjo. Hilo lisiondoke kichwani mwako.
Pili, ujiandae kwa chanjo ya 2 inayoitwa booster vaccine kwa ajili ya kuipa hiyo chanjo yako ya sasa nguvu, maana muda wake wa kupambana na variant ya delta sio muda mrefu.
Mwisho, hongera kwa chanjo, endelea kuchukua tahadhari.
Rudia kusoma uelewe.Jansen Ni single doze