BENCO
Senior Member
- Nov 27, 2013
- 107
- 11
Hi wana jf!nimeanza kuisoma katiba mpya inayotarajiwa kupigiwa kura hapo bdy lakini kuna mapungufu mengi tu nimeyaona japo nipo sura ya nne sasa lakini yafuatayo nimeyaona ni mapungufu makubwa.
Sehemu ya kwanza,ktk alama za Taifa sijaona katiba kuitambua shilingi yetu kama alama ya Taifa wala haijasema Kuwa katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni moja ya alama ya Taifa.
Sehemu ya nne,Dira ya Taifa ya maendeleo,hii katiba pendekezwa haija tamka wazi kama taifa tunafuata mlengo gani wa maendeleo kama ni Ubepari,ujamaa au mlengo wa kati,Manake taifa linaongozwa pasipokujuwa wapi tunaelekea au nni tunahitaji.
Sura ya tatu,suala la ardhi,Inatoa fursa kwa raia mtanzania kumilikishwa ardhi na mgeni kuitumia ardhi kwa uwkezaji tu,katiba haijatamka kwamba iwapo mtu alipata uraia wa Tanzania kwa kuandikishwa na akapata fursa ya kumilki ardhi kisha bady akabdili uraia atapoteza haki zake zote zihusuzo ardhi.
Bado naisoma katiba