donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salaam wakuu,
Nipo hapa ubungo sahizi kwenye Osaka nasubiri kucommence safari yangu ya kwenda chuga, aisee abiria ni wengi laana. Nafkiri baadae ntakuepo maeneo ya njooy pale sakina tukutane wadau wa chuga