donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Karibu sana Chuganian Arifuuu!!Salaam wakuu,
Nipo hapa ubungo sahizi kwenye Osaka nasubiri kucommence safari yangu ya kwenda chuga, aisee abiria ni wengi laana. Nafkiri baadae ntakuepo maeneo ya njooy pale sakina tukutane wadau wa chuga
Duu umepanda gari la kiree mkuu utafika night.Salaam wakuu,
Nipo hapa ubungo sahizi kwenye Osaka nasubiri kucommence safari yangu ya kwenda chuga, aisee abiria ni wengi laana. Nafkiri baadae ntakuepo maeneo ya njooy pale sakina tukutane wadau wa chuga
Karibu Arusha man ,ungepanda hata Kilimanjaro Bus ,AU Marangu Bus mkuu .Salaam wakuu,
Nipo hapa ubungo sahizi kwenye Osaka nasubiri kucommence safari yangu ya kwenda chuga, aisee abiria ni wengi laana. Nafkiri baadae ntakuepo maeneo ya njooy pale sakina tukutane wadau wa chuga
Hakika. Kama haijui Arusha anaeza dhania kafika.mkifika moshi utabaki peke yako
Hehe machalii ya ar utawajua tuJmosi natimba fasi ya dwasi r ila tuko na private car pia bado kuna nafasi ya raia wabee... Anayeweza kujoin inakuwa gud... Unachangia buku teni mbili tu
Haikatox kwa wakuu wa r lazima utumanyeHehe machalii ya ar utawajua tu
Yente yente yedeee kula gwaraa basiHaikatox kwa wakuu wa r lazima utumanye
Yente yente yedeee kula gwaraa basi
Jmosi natimba fasi ya dwasi r ila tuko na private car pia bado kuna nafasi ya raia wabee... Anayeweza kujoin inakuwa gud... Unachangia buku teni mbili tu
Yaan mkuu sijui ulijuaje, yaan eti saivi ndio tunaitafuta Moshi mjiniDuu umepanda gari la kiree mkuu utafika night.
Mkuu Arusha ndio nlipokulia, it's my homeHakika. Kama haijui Arusha anaeza dhania kafika.
chalii uje club Dii tuchape mafleketooo......fulu laana chalaangu.
Asante sana mkuuKaribu sana chuga mkuu