Naitafuta hii Series ya Mortal Combat

Naitafuta hii Series ya Mortal Combat

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926
Wakuu Kwema,

Miaka Fulani nyuma kwenye 199X kituo cha Luninga cha ITV kilikua kikionyesha hii movie ya Mortal Kombat lakini kwa mtindo wa episodes. Yaani kila wiki wanatupia moja nadhani wahenga wenzangu wa kipindi hicho mnaweza kuwa mnakumbuka.

Nimejaribu ku Google lakini naona napata only movie ya mwaka 1995 na ile ya 1997 ambayo hata waigizaji ni wengine. Hii nayopata ni movie tu za kama dakika 100 hivi, sio series yenye episodes.

Hapa chini kuna kipande kidogo nimekikuta ambacho ndio movie/series yenyewe nayoulizia, mwenye msaada zaidi jinsi ya kuipata series nzima tusaidiane wakuu.

 
Ingia youtube unazidownload kupitia TubeMate. Mbona dunia ya sasa ni rahisi sana na ni kifurushi chako tu cha internet

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hapo ukisikia hivyo ujue Scorpion kaachia kitu

Capture.PNG
 
Back
Top Bottom