Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka naomba nikupe ushauri wa Bure, Ratio ya Majike na Madume kwa Kwale ni 1:5 hii ikimaanisha kila Dume moja liendane na majike 5. Ratio hii itawapa amani kwale wako na watataga mayai yaliyo fertile na utabapa ratio nzuri kwenye kutotolesha, ratio ya madume ikiwa kubwa kuliko nilivyoeleza utapata mayai machache yaliyo fertile na hivyo hatching rate yako itakuwa chini sana.
NINI CHA KUFANYA:
Kwa sasa tenganisha madume na majike, then fuata ratio 1:5 hao madume extra watenge pembeni hadi hapo utakapo pata mtu wa kubadilishana naye au utakapopata mteja, otherwise rotate madume from time to time.
Pitia hapa wanauzwa
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=835693