Naitaji binti wa kutoka nae leo weekend

Naitaji binti wa kutoka nae leo weekend

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Habari wadau! naitaji binti yeyote anayejisikia kutoka siku ya leo na hana kampani anipe kampani,naitaji kampani ya kike..if u feel like join me this satoo kufurahi sehemu yoyote nzuri basi nijulishe kwa PM au hapa kwenye uzi....mie nipo Dsm,kiwanja tutakubaliana sote twende wapi
 
kwani tatizo lako haswa ni nini ndugu yangu??si jukwaa huru ili

Huru kwa ajili ya kutafuta mtu wa kutoka nae out???Basi itakuwa balaaa kila mtu akianza kutafuta wakupiga nae masanga humu kwa kuanzisha thread!!!!
 
Niko tayari, nadhani nitakuwa nimewawahi wengine wote.
 
Ka mshahara kanamuwasha!! Nenda Kona bar utawapata kibao.
 
mimi nipo mbeya unaonaje unitumie kanauli nifly muda huu!!
 
Natamani kweli kutoka ila npo mbali ntumie basi hela kwa m-pesa nitoke mwenyewe huku niliko....
 
Una hela au ndio mambo ya popcon na azam cola
 
Muwe makini kuna mchezo wa kubadilishana vijidudu siku hizi
 
Back
Top Bottom