music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Hili nalo nilakuanzisha thread?????
kwani tatizo lako haswa ni nini ndugu yangu??si jukwaa huru ili
Niko tayari, nadhani nitakuwa nimewawahi wengine wote.
Ni-pm wewe utakuwa wapi na saa ngapi ili nikufuate fastasawa ni pm kama upo siriaz..
Ka mshahara kanamuwasha!! Nenda Kona bar utawapata kibao.
mimi nipo mbeya unaonaje unitumie kanauli nifly muda huu!!
Bangi mbaya jamani.
Nini mipaka ya hiyo kampani unayoitafuta?nimeku pm ujanijibu bado...