ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habari doctor
sio mwepesi sana kujongea katika jukwaa hili ila naitaji msaada wa dawa
ya kichwa ambacho kinauma, na kufanya uwe na unatetemeka kila saa. na
kuwa na flu isiyoneneka niko kwa job hapa siwezi fanya kazi vizuri kwa homa hii,
vilvile nisaidie dawa ya sikio ambalo linauma mpaka nashindwa kufanya kazi
kiufaninisi zaidi nimeenda kwenye hospitali nimepewa dawa za kumeza na
kuchoma sindano laikini wapi leo ninapoandika hapa ninaumwa mwili mzima
na joto limepanda sasa sijui ni malaria kwani sijapima muda mrefu na nafunga
chandarua changu vyema, sielewi nifanyeje doctor ni dawa gani yaweza nitibu
Nisaidie doctor kwani sasa naona too much
Nawakilisha
siku njema na kazi njema