Naitaji Engine ya Nissani Teana 230J

Naitaji Engine ya Nissani Teana 230J

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159

Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana

Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo engine anidm
 
Back
Top Bottom