Naitaji Gari la Kukodi kwenda Singida

Naitaji Gari la Kukodi kwenda Singida

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho

Tuko watu 3 na mizigo yetu

Tunaitaji gari la kutupeleka Tu

Mtu ambae Yuko interesting please nipm

Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
 
Kuna lorry
Nafasi kubwa pia kuna kitanda mtakaa fresh full kiyoyozi na mizigo yenu...mziki kubwa na azam TV....Pia kuna fridge kwa vinywaji....kuhusu nyama choma kwa kadiri mtakavyo ona inafaa...karibu
 
Mnatokea mkoa gani? Mizigo kiasi gani? Mabegi au Mizigo Mikubwa kama vyombo vya nyumbani?

Itasaidia kujua gari size gani litawafaa.
 
Kuna lorry
Nafasi kubwa pia kuna kitanda mtakaa fresh full kiyoyozi na mizigo yenu...mziki kubwa na azam TV....Pia kuna fridge kwa vinywaji....kuhusu nyama choma kwa kadiri mtakavyo ona inafaa...karibu

Ulisoma umri wa kujiunga JF?
 
Liwe na Dereva
Ok simple tu, ingia bolt request xl zile akipokea mpe mpango wako unavosema siku 3 hata kama yeye hatokua tayari i guarantee ataku connect na alie tayari. sema ndo uwe tayari kumpa kiasi anachoingiza kwa siku! Hutakosa wala kurequest zaid ya mara 3 ushapata!

Ingekua self drive pia kuna 'rent a car' kibao apo town haswa yard za kuuza magari.
 
Okay thank you umenipa great idea
 
Back
Top Bottom