Naitaji kufahamishwa hii ikoje kisheria

Naitaji kufahamishwa hii ikoje kisheria

Mudugu

Senior Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
141
Reaction score
135
Nisipoteze muda niende mojakwamoja kwenye maada

Hivi uki oa mwanamke ambaye ameachika na amezaa watoto na akawaacha kwa baba yao
Baada ya muda akaolewa na kwenda kuanza maisha mapya na mungu akawajalia wakazaa watoto pia wakapata mali ikiwemo mashamba na nk.
Baada ya maisha Kuwa mazuri wale watoto ambao ali waacha kwa baba yao wakakimbilia kwa mama yao kwenda kuishi (kwa baba wa kambo)
Baada ya miaka mitano ikatokea kutoelewana baina ya mume na mke hatimae wakatengana na kuamua kugawana mali ambazo walichuma kwapamoja
Mwanamke akaendele kuishi na watoto wote wa pande mbili yaani wale waliokimbilia kuja kuishi kwa mama na wale ambao ame wazaa na mume ambaye wametengana muda si mrefu
Nawakaendelea kuishi kwenye nyumba ambayo wamegawana na mume wake hivi karibuni
Mume akaamua kwenda kuishi mbali na kamwachia na watoto wote
Swali langu linakuja
Je mama yao akija kufariki haki ya mirathi itakua upande gani?
Au itakuwa ya watoto wote wa huyo mama
Kwakuwa mali ili gawanywa?

Asanteni sana
 
Haki ya mirathi itakuwa ni kwa wowote wote wa Huyo mama kwa kuwa ile mali kwa mume wake wapili ilishagawiwa na kila mmoja akapata chake hvyo hzo mali zimeshakuwa za mama so mirathi itagwanywa kwa watoto wote wa mama huyu
 
Haki ya mirathi itakuwa ni kwa wowote wote wa Huyo mama kwa kuwa ile mali kwa mume wake wapili ilishagawiwa na kila mmoja akapata chake hvyo hzo mali zimeshakuwa za mama so mirathi itagwanywa kwa watoto wote wa mama huyu
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom