Naitaji kufanya biashara

Naitaji kufanya biashara

Mr ijiko

New Member
Joined
May 13, 2015
Posts
1
Reaction score
1
Naitaji kufanya biashala ya Maji
Mimi nimgeni
Kwenye maswala ya biashala
Naitaji muongozo kwa winye ufaamu wa iyo biashala nduguzangu nina msingi wa milioni1 sijapata frem bado na nipo dar.
 
Kwa huo mtaji ulionao Mimi nakushauri ufanye biashara ya mtandao, ambayo ni fursa inayotolewa na kampuni ya alliance in motion global utaanzia na 560000 kama mtaji lakini baada ya miezi isiyozidi kumi utakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni kwa wiki unaweza ukanicheck kwa whatsapp namba 0757409103 nikakupa maelekezo ni kituo gani semina zinatolewa kulingana na mkoa uliomo
 
Sina uhakika na hii ishu naona inapigwa sana hapa kwa wajuzi wa mambo
 
Kwa huo mtaji ulionao Mimi nakushauri ufanye biashara ya mtandao, ambayo ni fursa inayotolewa na kampuni ya alliance in motion global utaanzia na 560000 kama mtaji lakini baada ya miezi isiyozidi kumi utakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni kwa wiki unaweza ukanicheck kwa whatsapp namba 0757409103 nikakupa maelekezo ni kituo gani semina zinatolewa kulingana na mkoa uliomo
Acha kumdanganya mwenzako alliance ni utapeli mtupu
 
Naitaji kufanya biashala ya Maji
Mimi nimgeni
Kwenye maswala ya biashala
Naitaji muongozo kwa winye ufaamu wa iyo biashala nduguzangu nina msingi wa milioni1 sijapata frem bado na nipo dar.
Dadavua kidogo tujua upo Dar sehemu gani? Unataka kuuza jumla au reja reja
 
Kwa huo mtaji ulionao Mimi nakushauri ufanye biashara ya mtandao, ambayo ni fursa inayotolewa na kampuni ya alliance in motion global utaanzia na 560000 kama mtaji lakini baada ya miezi isiyozidi kumi utakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni kwa wiki unaweza ukanicheck kwa whatsapp namba 0757409103 nikakupa maelekezo ni kituo gani semina zinatolewa kulingana na mkoa uliomo
Acha utapeli
 
Acha kumtapeli mwenzio we unadhani huo muda wa kupata wateja sijui 10 ataotoa wapi..... ili aanze kupokea hizo elfu ishirini ishirini....

Mleta mada huyu mtu mwongope kama ukoma maana hana msaada wowote kwako...
 
Back
Top Bottom