Hemedy rashidy JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 244 Reaction score 147 Sep 29, 2022 #1 Samahanii naitaji kujuwa beii za jumla za simu ndogo na cover za simu kwa beii ya jumla na redio speaker za bluetooth zile ndogo kwa beii ya jumla pia na headphones kwa beii ya jumla nasubirii msaada wenu
Samahanii naitaji kujuwa beii za jumla za simu ndogo na cover za simu kwa beii ya jumla na redio speaker za bluetooth zile ndogo kwa beii ya jumla pia na headphones kwa beii ya jumla nasubirii msaada wenu
TheGodfather95 JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 1,763 Reaction score 1,830 Sep 29, 2022 #2 Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara.
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 Sep 29, 2022 #3 TheGodfather95 said: Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara. Click to expand... Uyu ameomba kuja bidha hizo na ww Kama unajuwa eleza hapa kwa faida ya uma sas hivy mbona #yunduyundu unaleta
TheGodfather95 said: Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara. Click to expand... Uyu ameomba kuja bidha hizo na ww Kama unajuwa eleza hapa kwa faida ya uma sas hivy mbona #yunduyundu unaleta
MUTUYAMUNGU JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,825 Reaction score 4,374 Sep 29, 2022 #4 TheGodfather95 said: Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara. Click to expand... Weka hapa hadharani kwa faida ya wengi. Kwanini unakuwa huna huruma, usikute ana mtaji wa laki tano tu unataka kumtapeli!!! Utalogws use chizi
TheGodfather95 said: Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara. Click to expand... Weka hapa hadharani kwa faida ya wengi. Kwanini unakuwa huna huruma, usikute ana mtaji wa laki tano tu unataka kumtapeli!!! Utalogws use chizi
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 931 Reaction score 940 Sep 30, 2022 #5 TheGodfather95 said: Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara. Click to expand... Broo weka hapa kila mtu ajue hata mi naitaji niko Moro
TheGodfather95 said: Kwema kaka naomba tuwasiliane hapa 0714036595 tufanye biashara. Click to expand... Broo weka hapa kila mtu ajue hata mi naitaji niko Moro
M Mkushi w jani JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 1,798 Reaction score 1,570 Sep 30, 2022 #6 moi wa kitaa said: Broo weka hapa kila mtu ajue hata mi naitaji niko moro Click to expand... Na mimi naitaji pia nipo Moro
moi wa kitaa said: Broo weka hapa kila mtu ajue hata mi naitaji niko moro Click to expand... Na mimi naitaji pia nipo Moro