SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 350
Nataka kuingia Katika biashara ya kuku WA kizungu naitaji kupata assurance ya masoko
Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu.
Naitaji kuanza na kuku 500.
Nitafurai nikipata mawasiliano ya wanunuaji kuku
Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu.
Naitaji kuanza na kuku 500.
Nitafurai nikipata mawasiliano ya wanunuaji kuku