SHADOWANGEL JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 528 Reaction score 350 Nov 28, 2018 #1 Nataka kuingia Katika biashara ya kuku WA kizungu naitaji kupata assurance ya masoko Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu. Naitaji kuanza na kuku 500. Nitafurai nikipata mawasiliano ya wanunuaji kuku
Nataka kuingia Katika biashara ya kuku WA kizungu naitaji kupata assurance ya masoko Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu. Naitaji kuanza na kuku 500. Nitafurai nikipata mawasiliano ya wanunuaji kuku
Simon Adebisi JF-Expert Member Joined Aug 7, 2018 Posts 1,224 Reaction score 2,337 Nov 29, 2018 #2 Wanunuaji wengi na watu wa sokoni na wanaochoma kuku jioni... Jaribu kizunguka soko lililo karibu nawe uangalie Kuku wakifikisha wiki tatu anza kutafuta wateja mapema Mafanikio mema
Wanunuaji wengi na watu wa sokoni na wanaochoma kuku jioni... Jaribu kizunguka soko lililo karibu nawe uangalie Kuku wakifikisha wiki tatu anza kutafuta wateja mapema Mafanikio mema