Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

DON YAN

Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
21
Reaction score
6
wajameni nisaidieni wapi nitapata kuku wa kiajeji kwa ajiri ya kufuga ,mfano kuchi nipatieni na gharama naitaji mitetea kumi na jogoo mmoja.natanguliza shukrani but napatikana Dar .
 
Kwa vifaranga ni rahisi kupata, mm ninao vifaranga wa wk 4 sasa bei 2500=
Aina: mchanganyiko kuchi+rhode red

Karibu
 
wanatumia vyakula gani hasa,sio waliozoea madawa kama kuku wa kisasa
 
Kwa vifaranga ni rahisi kupata, mm ninao vifaranga wa wk 4 sasa bei 2500=
Aina: mchanganyiko kuchi+rhode red Karibu

RETI,

Naomba kuuliza sifa ya hii breed maana na mimi natafuta
 
Kwa vifaranga ni rahisi kupata, mm ninao vifaranga wa wk 4 sasa bei 2500=
Aina: mchanganyiko kuchi+rhode red Karibu

Naweza kupata ambao wanakaribia umri wa kutaga? wakubwa vijana ambao hawajataga
 
wakubwa kwa umri huo huwezi pata kwangu maana wengi wanachukua vifaranga umri wa 1day old-4wks old
 
Mkuu reti tuekee namba zako za simu tunaitaji vifaranga
 
Ebana naweza pata hao vifaranga wa wiki 4 wiki ijayo RETI just nipe siku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom