Naitaji kununua gari msaada

Mwagitho

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
111
Reaction score
38
nina kama milion10 naitaji kununua gari za kuagiza inje ya inchi mfano japan, hiyo hera nimetenga pamoja na ya kulipia ushuru,naombeni mnisaidie inakuwaje utaratibu wa kuagiza na aina ya gari nzuri na garama za ulipaji ushuru,nilikuwa naitaji gari ya familia
 

toyota wish ni gari nzuri kwa familia.. mtafute huyu jamaa atakusaidia anafanya hiyo business ya magari... 0714101370
 
Family una maana gari ya kubeba watu wengi eti? Kuna zile zenye engine ndogo ya cc 1500 na 1800 na kuna za cc 2000 pia. kumbuka kama ni ya matumizi ya Dar fuel issue is very important na kwa mkoani suala la gari kuwa juu ni mhimu. kuna gari za abiria 6, 7 na 8. wewe unataka ya abiria wangapi? the best car in Dar is a 7 passangers ambayo ni Toyota Corolla Spacio New models i.e 2002 na kuendelea. ina cc 1490 hadi 1790. Lakini kama unataka ya watu 8 kuna Toyota Noah. kuana family cars zingine kama Toyota wish kama ulivyoambiwa. kama hutojali kuna Mitsubish Dion, Nissan serena, Mazda premacy, Nissan Liberty n.k ila its better ukachukua Toyota........Welcome for an assistance if you wish.
 
Mkuu,we nenda kajichukulie Toyota Noah,kwa familia uta enjoy.
Hizi Gari za Chini au Saloon kwa Dar zitakutesa kwenye foleni kwa joto.
 
Mimi ninayo Nadia black color, iko kwenye hali nzuri. Kwa 10M nakuachia hata leo. Ni ya 2000, cc 1990, automatic, odo 162000: engine 3s, inacomprehensive insurance. Motor vehicles licence inaisha mwezi May. Wewe ukilipia tu unaanza kuiendesha fasta hapohapo
 
kwanini usinunue ndani ya nchi kupunguza gharama za usafirishaji nk

Ungejua kuagiza gari na kuiclear mwenyewe kunapunguza cost sanaaa tofauti na kwenda kununua yard ambako wamejiongezea na faida zao juu. Ila kuagiza gari mwenyewe mwenyewe kuna hasara zake pia ,mfano gari inaweza fika ime creck engine ,baadhi ya vifaa vimeibwa. Cha msingi mchukue fundi nenda nae yard akusaidie kuangalia baadhi ya vitu kama viko order.
Otherwise wanaokushauri habari za toyota noah wanakuongopea ,noah ni mil 12 sio 10. Nunua gari ilio chini ya mil 8 kama carina ,vitz n.k uache angalau balance ya ku issue insurance, car services kuna kuinua gari yako kidogo si unajua bongo bumps!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…