mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Jun 11, 2019 #1 Wadau kama kichwa cha habari kinàvyosema natafuta maderi ya kuhifazia vinywàji baridi yawe ya kuyavaa mgoñgoni au kifuani mfano kama Yale wànayouzia AZAM UKWAJU.Mwenye kufàhm yanapopàtikàna naomba anijuze please.
Wadau kama kichwa cha habari kinàvyosema natafuta maderi ya kuhifazia vinywàji baridi yawe ya kuyavaa mgoñgoni au kifuani mfano kama Yale wànayouzia AZAM UKWAJU.Mwenye kufàhm yanapopàtikàna naomba anijuze please.