Naitaji mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi(paper bags)

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
Wakuu nitaipataje hii mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi ya kuwekea vitu.

Pia nahitaji kujua bei yake na namna ya kuiendesha. Nina ishu zangu zinaitaji sn vifungashio ila hii ya mtaani quality ndogo haivutii.

Na kama mtu anayo tunaweza kufanya biashara.
 
ukiipa tanishitue mie nitakuwa mteja wako wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…