Naitaji mchumba msichana mcheshi mwenye heshima

2kamuna

New Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Tabia nikitu cha kwanza, Mcha MUNGU Mpenda maendeleo mwenye kukubaliana na maisha yaaina yote. M REFU KIDOGO Rangi haijarishi sana dini mkirsto hasa msabato itakiwa poa sana T UWASILIANE LWA NAMBA HII 0713113491 Au Email juliusjoseph29@yahoo.com. akiwa tayari wakati wowote napatikana, asiwe mbabaishaji.
 
Utanilipa sh ngapi nikikuunganishia? Ninao 6.
 
2kamuna kazi unayo nenda kwenye mapenzi hapa watu watakuja wale kibishara zaidi
 
Last edited by a moderator:
Nina demu wangu ana vigezo vyote ulivyotaja.... Ila tu ni sero+ ,unasemaje,nikuunganishe nae ?!
 
wasichana wenye hizo particulars wapo kwa wingi Jolly Club!!!
 
@dawayasikio we jamaa dalali haya bana ngoja nikuletee wateja malipo ya udalali ngapi kwa kichwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…