naitaji mchumba

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
jaman mimi nimekuwa na wasichana kadhaa. Lakini.sijawai kuushuhudia upendo maana nimeu
izwa saana naitaji.mchumba aliye wai tendwa tupumzike maana maivu nayafahamu

.umri wangu miaka 25
.mchumba asizidi miaka 29
.awe na mwonekano wowote
.kikubwa awe ametndwa mwenye kujua maumiv

.mimi nipo songea ntafurai umiwa songea

.mimi ni mngoni na nime jiajili
.mkirustu kwa majina tuta tambulishana
 
Utapata tuu we komaaaaa
 
Jifunze kwanza kusoma na kuandika kwa usahihi utapata mchumba sahihi!
 
kila laheri!! na dini yako ya mkirustu naimani utapata mkirustu mwenzio mtayajenga mkizingatia kanuni na matakwa ya dini yenu hiyo mpya! sisi tuu nyuma yenu!!!!!!!!
 
Yaani una miaka 25 tayari ushaumizwa hivyo, mi nina 26 hata maumivu ya mapenzi sijui
 
Miaka 25 umeshachoka mapenz unataka upumzike, ila unaanza sentensi na nukta, au umekaa uarabuni sana?

Nenda Hata QT mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…