ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
habari wanajf
Awali ya yote ninaomba mkopo kwa mwanajf yeyote wa Tsh 1,200,000/= wenye riba kuanzia 15% kwani nina biashara yangu ambayo imesimama kwa kwa muda sasa nataka niifufue ili iendelee tena, tatizola kusimama kwa hii biashara ni kutokana na matatizo ya kifamilia yaliyonipata ndo mana nikashindwa kuendeleza biashara hii. Na ikakwamba kwa muda mrefu sasa hivyo ninaomba mwenye hisani anikopeshe kiasi hicho nilichokitaja hapo juu kwa ajili ya hiyo biashara. Tutasaini kwa mwaka miezi sita au miezi tisa kama mambo yakiwa mazuri zaidi
Nashukuru kwa yeyote atakayejitolea kwa kunikopesha
Mungu awabariki / akubariki