ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
habari wanajf
awali ya yote ninaomba mkopo kwa mwanajf yeyote wa tsh 1,200,000/= wenye riba kuanzia 15% kwani nina biashara yangu ambayo imesimama kwa kwa muda sasa nataka niifufue ili iendelee tena, tatizola kusimama kwa hii biashara ni kutokana na matatizo ya kifamilia yaliyonipata ndo mana nikashindwa kuendeleza biashara hii. Na ikakwamba kwa muda mrefu sasa hivyo ninaomba mwenye hisani anikopeshe kiasi hicho nilichokitaja hapo juu kwa ajili ya hiyo biashara. Tutasaini kwa mwaka miezi sita au miezi tisa kama mambo yakiwa mazuri zaidi
nashukuru kwa yeyote atakayejitolea kwa kunikopesha
mungu awabariki / akubariki
Kwa nini kuanzia 15%? Una maana hiyo ndio kiwango wa chini au juu?habari wanajf
Awali ya yote ninaomba mkopo kwa mwanajf yeyote wa Tsh 1,200,000/= wenye riba kuanzia 15% kwani nina biashara yangu ambay....
security ya huu mkopo itakuwa nini maana hata ma bank wanataka uwe na kitu kama dhamana kama mambo yakienda vibaya watapataje hela yao?
Nadhani umenielewa mwanangu
Kwa nini kuanzia 15%? Una maana hiyo ndio kiwango wa chini au juu?
habari wanajf
Awali ya yote ninaomba mkopo kwa mwanajf yeyote wa Tsh 1,200,000/= wenye riba kuanzia 15% kwani nina biashara yangu ambayo imesimama kwa kwa muda sasa nataka niifufue ili iendelee tena, tatizola kusimama kwa hii biashara ni kutokana na matatizo ya kifamilia yaliyonipata ndo mana nikashindwa kuendeleza biashara hii. Na ikakwamba kwa muda mrefu sasa hivyo ninaomba mwenye hisani anikopeshe kiasi hicho nilichokitaja hapo juu kwa ajili ya hiyo biashara. Tutasaini kwa mwaka miezi sita au miezi tisa kama mambo yakiwa mazuri zaidi
Nashukuru kwa yeyote atakayejitolea kwa kunikopesha
Mungu awabariki / akubariki
Wewe ulikuwa mtu wa kwenda katika mabenki hapa Bongo, wao uwaelezee hiyo biashara yako na hatimaye wafike site kwa ajili ya kuhakiki maswala mengine ya kibiashara na wakiridhika watakupa mkopo bila shida na riba kubwa kiasi hicho.
Tatizo ninaloliona hapa Tanzania mabenki yote yapo kwa madhumuni tofauti ikiwa pamoja na kuwakopesha mafisadi waliopo katika nchi hii wakiwemo wahindi. Amka Tafakari na chukua hatua.