Naitaji mkopo

Naitaji mkopo

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
Wadau wanajamvi nashida yamkopo wa 450,000 kwamuda wa miezi 2 nalipa naliaba 75,000 zamana naweka kadi ya pikipiki yangu fekon cc 125 mamba c kwamwenye uwezo wakunisaidia hilo tuwasiliane nami 0755984282 au ani pm napatikana dar es salaam
 
Loan sharks hawataki kadi, unapaki na tuktuk unaacha hapo. Ikipita miezi 2 anaanza kuitumia. Ikipita 3 anaiuza. Aisee, sikushauri unless uko na uhakika utalipaje hiyo hela.
 
Izo pkpk zipo 2ndio zinazo hingiza hela nataka kuongezea ktk fungu langu nichukue ya tatu sasa watanifelisha nikipaki hapo kwani kadi simzamana wa mkopo
 
Wadau wanajamvi nashida yamkopo wa 450,000 kwamuda wa miezi 2 nalipa naliaba 75,000 zamana naweka kadi ya pikipiki yangu fekon cc 125 mamba c kwamwenye uwezo wakunisaidia hilo tuwasiliane nami 0755984282 au ani pm napatikana dar es salaam
Pole sana mkuu. kumkopesha mtu individualy tena kwa riba uliyoipanga mkopwaji inahitaji kufahamiana.
Kwa humu jukwaani sina hakika kama watapatikana.
 
Back
Top Bottom