Wakuu naitaji mtu au kampuni ninayoweza kushirikiana nayo kufanya project yangu ya promotion...
Inaweza kuwa stationary, IT solution au printing au video production.
Maeneo Dar es salaam sehemu yeyote...
Kwa yeyote ambaye anajiusisha na kazi izo au hana na anapenda kuwekeza kwenye entertainment,blogs promotion tuwasiliane tuingie mkataba tupige pesa
Project imeshaanza ila nataka ipanuke iwe kubwa.
Tuwasiliane 0785514551
Sent using
Jamii Forums mobile app