Naitaji mtaji

Naitaji mtaji

burtons

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
276
Reaction score
85
Ndugu wadau naitaji mkopo wa laki tatu maAna nina line ya tigo pesa naitaji kuweka mtaji ktk line hiyo tafadhalini mnisaidie mtaji huo then ndani ya mwezi mmoja nakurudishia with negotiable interest. Tafadhalini mnisaidie
 
Back
Top Bottom