Naitaji mtu wa kushare nae mawazo na hisia kahama.

Naitaji mtu wa kushare nae mawazo na hisia kahama.

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,572
Reaction score
1,781
Wana jf wa Kahama mimekua hapa Kahama kwa mda wa mwaka mmoja sasa lakini sijapata mtu wa kuhusiana nae mahusiano ya dhati hivyo kama kuna mtu yuko interested naomba ani PM. Mie ni mwanamme mwenye 35 years.
 
Why kahama tu? Ungeangaza hata sehemu nyingine mfano sehemu unazosafiri mara kwa mara.
 
Why kahama tu? Ungeangaza hata sehemu nyingine mfano sehemu unazosafiri mara kwa mara.

Asante kwa ushauri wako naongezea Shinyanga,Mwanza,Nzega na wilaya zinazozunguka Kahama.
 
Hukuwa nae b4?au unataka wa kupita?
 
Ye ajitahidi tu kutazama vizuri kwenye matembezi yake, kazi ni kwake Boss....mi kama ningehusu hapo kwa njia moja ama nyingine ningeshazunguka pm!

Ha,ha,ha,haaaa!Kumbe haihuuu!Huku Mwanza kumbe tupo JF wa kutoshaeeee!!
 
Back
Top Bottom